Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:81-83 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:81-83 in Biblia ya Kiswahili

81 Ninazimia kwa kutamani sana kuwa wewe unaweza kuniokoa! Ninamatumaini katika neno lako.
82 Macho yangu yanatamani sana kuiona ahadi yako; ni lini utanifariji mimi?
83 Kwa maana nimekuwa kama kiriba katika moshi; sisahau sheria zako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili