Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:72-73 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:72-73 in Biblia ya Kiswahili

72 Maagizo yatokayo kinywani mwako ni ya thamani zaidi kwangu kuliko maelfu ya vipande vya dhahabu na fedha. YOD.
73 Mikono yako imeniumba na kunitengeneza; unipe uelewa ili niweze kujifunza amri zako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili