Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:66-68 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:66-68 in Biblia ya Kiswahili

66 Unifundishe utambuzi sahihi na uelewa, kwa kuwa nimeamini katika amri zako.
67 Kabla sijateswa nilipotea, lakini sasa nimelitii neno lako.
68 Wewe ni mwema, na ndiye yule utendaye mema; unifundishe sheria zako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili