Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:58-59 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:58-59 in Biblia ya Kiswahili

58 Kwa bidii ninaomba neema yako kwa moyo wangu wote; unihurumie, kama neno lako lilivyo ahidi.
59 Nilizichunguza njia zangu na kugeuzia miguu yangu kwenye amri za agano lako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili