Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:171-173 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:171-173 in Biblia ya Kiswahili

171 Midomo yangu na imwage sifa, maana wewe unanifundisha sheria zako.
172 Ulimi wangu na uimbe kuhusu neno lako, maana amri zako zote ni za haki.
173 Mkono wako unisaidie, maana nimechagua maagizo yako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili