Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:152-155 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:152-155 in Biblia ya Kiswahili

152 Muda mrefu uliopita nilijifunza kutoka katika amri za agano lako ulizoziweka katika mahali pa milele. RESH.
153 Uyatazame mateso yangu na unisaidie, maana siisahau sheria yako.
154 Unitetee na kunikomboa; unihifadhi, kama ulivyo ahidi katika neno lako.
155 Wokovu uko mbali na waovu, maana hawazipendi amri zako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili