Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:150-152 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:150-152 in Biblia ya Kiswahili

150 Wale wanaonitesa wananikaribia, lakini wako mbali na sheria yako.
151 Wewe uko karibu, Yahwe, na amri zako ni za kuaminika.
152 Muda mrefu uliopita nilijifunza kutoka katika amri za agano lako ulizoziweka katika mahali pa milele. RESH.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili