Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:135-138 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:135-138 in Biblia ya Kiswahili

135 Uso wako umwangazie mtumishi wako, na unifundishe sheria zako.
136 Mito ya machozi yatiririka kutoka machoni pangu kwa sababu watu hawaitii sheria yako. TSADHE.
137 Wewe ni mwenye haki, Yahwe, na amri zako ni haki.
138 Umezipa amri za agano lako haki na uaminifu.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili