Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:121-124 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:121-124 in Biblia ya Kiswahili

121 Ninafanya kilicho sahihi na haki; usiniache kwa watesi wangu.
122 Uwe mdhamini wa ustawi wa mtumishi wako; usiwaache wenye kiburi wanionee.
123 Macho yangu yanachoka kwa kuusubiri wokovu wako na neno lako la haki.
124 Mwoneshe mtumishi wako uaminifu wa agano lako, na unifundishe sheria zako.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili