Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Zaburi 119:120-123 in Swahili (individual language)

Help us?

Zaburi 119:120-123 in Biblia ya Kiswahili

120 Mwili wangu hutetemeka kwa hofu yako, na ninaziogopa amri za haki yako. AYIN.
121 Ninafanya kilicho sahihi na haki; usiniache kwa watesi wangu.
122 Uwe mdhamini wa ustawi wa mtumishi wako; usiwaache wenye kiburi wanionee.
123 Macho yangu yanachoka kwa kuusubiri wokovu wako na neno lako la haki.
Zaburi 119 in Biblia ya Kiswahili