Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 8:8-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 8:8-10 in Biblia ya Kiswahili

8 Tuna dada mdogo, na matiti yake bado hayajakua. Nini tutamfanyia dada yetu siku hatakayo ahidiwa kuolewa?
9 Kama ni ukuta, tutamjengea juu yake mnara wa fedha. Kama ni mlango, tutampamba kwa mbao za mierezi. Mwanamke mdogo akizungumza peke yake
10 Nilikuwa ukuta, lakini matiti yangu sasa ni kama nguzo imara; hivyo nimekomaa machoni pake. Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe
Wimbo wa Sulemani 8 in Biblia ya Kiswahili