Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 6:1-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 6:1-3 in Biblia ya Kiswahili

1 Mpenzi wako ameenda wapi, ulio mzuri miongoni mwa wanawake? Kwa njia gani mpenzi wako ameenda? ilitumtafute nawe? Mwanamke mdogo akizungumza mwenyewe
2 Mpenzi wangu ameenda katika bustani yake, kwenye vitanda vya manukato, kwenda kula katika bustani na kukusanya nyinyoro.
3 Mimi ni wa mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu; na kula katika nyinyoro kwa raha. Mpenzi wa mwanamke akizungumza naye
Wimbo wa Sulemani 6 in Biblia ya Kiswahili