Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 5:2-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 5:2-3 in Biblia ya Kiswahili

2 Nilikuwa nimelala, lakini moyo wangu ulikuwa umeamka katika ndoto. Sauti ya mpenzi wangu yabisha na kusema, “Nifungulie, dada yangu, mpenzi wangu, hua wangu, wangu usiye na doa, kwa kuwa kichwa changu kimelowa na matone, nywele zangu na unyevu wa usiku.”
3 “Nimevua joho langu; lazima nilivae tena? Nimeosha miguu yangu; lazima ni ichafue?”
Wimbo wa Sulemani 5 in Biblia ya Kiswahili