Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 4:6-8 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 4:6-8 in Biblia ya Kiswahili

6 Hadi jioni ifike na vivuli viondoke, nitaenda kwenye mlima wa manemane na vilima vya ubani.
7 Wewe ni mzuri kwa kila namna, mpenzi wangu na hakuna lawama ndani yako.
8 Njoo nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu. Njoo nami kutoka Lebanoni; njoo kutoka juu ya Amana, kutoka juu ya Seneri na Herimoni, kutoka shimoni mwa simba, kutoka mashimo ya milima ya chuwi.
Wimbo wa Sulemani 4 in Biblia ya Kiswahili