Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Wimbo wa Sulemani 4:1-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Wimbo wa Sulemani 4:1-3 in Biblia ya Kiswahili

1 O, wewe ni mzuri, mpenzi wangu; wewe ni mzuri. Macho yako ni ya hua nyuma kitamba chako cha uso. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi likienda chini kutoka Mlima Gileadi.
2 Meno yako ni kama kondoo walio nyolewa, wakitoka sehemu ya kuoshwa. Kila mmoja ana pacha, na hamna ata mmoja miongoni mwao aliyefiwa.
3 Mdomo wako ni kama uzi mwekendu; mdo wako wapendeza. Mashavu yako ni kama majani ya komamanga nyuma ya kitambaa chako cha uso.
Wimbo wa Sulemani 4 in Biblia ya Kiswahili