Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 8:30-31 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 8:30-31 in Biblia ya Kiswahili

30 Nilikuwa kando yake, kama fundistadi mkuu, na mimi nilikuwa furaha yake siku kwa siku, nikifurahi mbele zake daima.
31 Nilikuwa nikifurahi katika dunia yake yote na furaha yangu ilikuwa kwa wana wa wanadamu.
Mithali 8 in Biblia ya Kiswahili