Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 30:25-31 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 30:25-31 in Biblia ya Kiswahili

25 mchwa ni viumbe ambao sio imara, lakini huandaa chakula chao wakati wa hari,
26 Wibari siyo viumbe wenye nguvu, lakini hutengeneza makazi yake kwenye miamba.
27 Nzige hawana mfalme, lakini wote wanamwendo wa mpangilio.
28 Kama mjusi, unaweza kumkunja kwa mikono yako miwili, lakini wanapatikana katika majumba ya wafalme.
29 Kuna vitu vitatu ambavyo ni fahari katika mwendo na vinne ambavyo ni fahari katika namna ya kutembea:
30 simba, aliyeimara miongoni mwa wanyama- wala hajiepushi na kitu chochote;
31 jogoo anayetembea kwa mikogo; mbuzi; na mfalme ambaye askari wapo kando yake.
Mithali 30 in Biblia ya Kiswahili