Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 29:4-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 29:4-10 in Biblia ya Kiswahili

4 Mfalme huimarisha nchi kwa haki, bali mwenye kudai rushwa huirarua.
5 Mtu anayejipendekeza kwa jirani yake anatandaza wavu kwenye miguu yake.
6 Mtu mbaya hunaswa kwenye mtego wa dhambi yake mwenyewe, bali yeye atendaye haki huimba na kufurahi.
7 Atendaye haki hutetea madai ya masikini; mtu mwovu hafahamu maarifa kama hayo.
8 Mwenye dhihaka huutia moto mji, bali wale wenye busara huigeuza ghadhabu.
9 Mtu mwenye busara anapojadiliana na mpumbavu, hughadhabika na kucheka, hakutakuwa na utulivu.
10 Mkatili humchukia mwenye ukamilifu na hutafuta maisha ya mwenye haki.
Mithali 29 in Biblia ya Kiswahili