Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 29:25-27 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 29:25-27 in Biblia ya Kiswahili

25 Kumwogopa binadamu ni mtego, bali mwenye kumtumaini Yehova atalindwa.
26 Wengi huutafuta uso wa mtawala, bali kutoka kwa Yehova huja haki kwa ajili yake.
27 Mtu dhalimu ni chukizo kwa wenye kutenda haki, bali mwenye njia ya haki ni chukizo kwa watu waovu.
Mithali 29 in Biblia ya Kiswahili