Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 27:9-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 27:9-11 in Biblia ya Kiswahili

9 Pafumu na manukato huufanya moyo ufurahi, lakini utamu wa rafiki ni bora kuliko ushauri wake.
10 Usimwache rafiki yako na rafiki wa baba yako, na usiende kwenye nyumba ya ndugu yako katika siku ya msiba wako. Ni bora rafiki ambaye yupo karibu kuliko ndugu ambaye yupo mbali.
11 Mwanangu, uwe na busara, moyo wangu ufurahi; kisha nitamjibu yule anayenidhihaki.
Mithali 27 in Biblia ya Kiswahili