Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 25:4-5 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 25:4-5 in Biblia ya Kiswahili

4 Ondoa takataka kutoka kwenye fedha na mfua vyuma anaweza kutumia fedha katika ufundi wake.
5 Pamoja na hayo, waondoe watu waovu mbele ya mfalme na kiti chake cha enzi kitaimarishwa kwa kutenda haki.
Mithali 25 in Biblia ya Kiswahili