Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 22:27-29 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 22:27-29 in Biblia ya Kiswahili

27 Kama umekosa njia za kulipa, nini kitaweza kuzuia mtu kuchukua kitanda chako chini yako?
28 Usiondoe jiwe la mpaka la wahenga ambalo baba zako wameweka.
29 Je umemwona mtu aliyeuwawa kwenye kazi yake? Atasimama mbele ya wafalme; hatasimama mbele ya watu wa kawaida.
Mithali 22 in Biblia ya Kiswahili