Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 1:7-8 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 1:7-8 in Biblia ya Kiswahili

7 Hofu ya Yehova ni chanzo cha maarifa- wapumbavu hudharau hekima na nidhamu.
8 Mwanangu, sikia fundisho la baba yako na wala usiziache kanuni za mama yako;
Mithali 1 in Biblia ya Kiswahili