Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 1:20-21 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 1:20-21 in Biblia ya Kiswahili

20 Hekima inalia kwa sauti mtaani, inapaza sauti katika viwanja;
21 katika mitaa inalia kwa sauti kuu, kwenye maingilio ya milango ya mji inasema
Mithali 1 in Biblia ya Kiswahili