Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 1:13-15 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 1:13-15 in Biblia ya Kiswahili

13 Tutapata vitu vyote vya thamani; tutazijaza nyumba zetu vile tunavyoiba kwa wengine.
14 Weka vitu vyako kwetu; tutakuwa na mfuko moja kwa pamoja.”
15 Mwanangu, usitembee katika njia moja pamoja nao; usiruhusu mguu wako kugusa katika mapito yao;
Mithali 1 in Biblia ya Kiswahili