Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 17:2-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 17:2-4 in Biblia ya Kiswahili

2 Mtumishi mwenye busara atatawala juu ya mwana atendaye kwa aibu na atashiriki urithi kama mmoja wa ndugu.
3 Kalibu ni kwa fedha na tanuu ni kwa dhahabu, bali Yehova huisafisha mioyo.
4 Mtu atendaye mabaya huwasikiliza wale wanaosema maovu; muongo anausikivu kwa wale wanaosema mambo mabaya.
Mithali 17 in Biblia ya Kiswahili