Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 12:3-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 12:3-4 in Biblia ya Kiswahili

3 Mtu hawezi kuimarishwa kwa uovu, bali wale watendao haki hawawezi kung'olewa.
4 Mke mwema ni taji ya mume wake, bali yule aletaye aibu ni kama ugonjwa unaoozesha mifupa yake.
Mithali 12 in Biblia ya Kiswahili