Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 10:24-25 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 10:24-25 in Biblia ya Kiswahili

24 Hofu ya mwenye uovu humkumba ghafla, bali shauku ya mwenye haki itatimizwa.
25 Waovu ni kama dhoruba inayopita, na hawapo tena, bali mwenye haki ni msingi unaodumu milele.
Mithali 10 in Biblia ya Kiswahili