Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mithali 10:16-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Mithali 10:16-18 in Biblia ya Kiswahili

16 Mshahara wa watenda haki huelekea kwenye uzima; manufaa ya waovu huelekea dhambini.
17 Kuna njia kwenda kwenye uzima kwa yule anayefuata maongozo, bali anayekataa maonyo hupotea.
18 Yeye afichaye chuki anamidomo ya uongo, na yeye anayesambaza kashfa ni mpumbavu.
Mithali 10 in Biblia ya Kiswahili