Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 5:19-20 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 5:19-20 in Biblia ya Kiswahili

19 Yeyote ambaye Mungu amempa mali na utajiri na uwezo wa kupokea sehemu yake na kufurahi katika kazi yake hii ni zawadi kutoka kwa Mungu.
20 Kwa kuwa mara kadhaa hakumbuki siku za maisha yake, kwa sababu Mungu anamfanya kuhangaika na mambo ambayo anafurahia kuyafanya.
Mhubiri 5 in Biblia ya Kiswahili