Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 3:17-18 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 3:17-18 in Biblia ya Kiswahili

17 Nikasema moyoni mwangu, “Mungu atahukumu mwenye haki na mbaya kwa wakati muafaka kwa kila jambo na kila tendo.
18 Nikasema moyoni mwangu, “Mungu huwajaribu wanadamu kuwaonyesha kwamba wao ni kama wanyama.”
Mhubiri 3 in Biblia ya Kiswahili