Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 1:5-6 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 1:5-6 in Biblia ya Kiswahili

5 Jua huchomoza na jua huzama na kwenda kwa kasi, na kurudi mahali linapochomozea tena.
6 Upepo huvuma kusini na huzunguka kasikazi, na mara zote ukizunguka katika njia yake na kurudi tena.
Mhubiri 1 in Biblia ya Kiswahili