Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mhubiri 10:12-14 in Swahili (individual language)

Help us?

Mhubiri 10:12-14 in Biblia ya Kiswahili

12 Maneno ya kinywa cha mtu mwenye hekima yana huruma. Lakini midomo ya mpumbavu humumeza mwenyewe.
13 Kama maneno yanavyo anza kutiririka mdomoni mwa mpumbavu, ujinga hutoka, na mwisho mdomo wake hutiririka wazimu mbaya.
14 Mpumbavu huongeza maneno, lakini hakuna ajuaye kinachokuja. Ni nani ajuaye baada yake?
Mhubiri 10 in Biblia ya Kiswahili