Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 8:9-10 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 8:9-10 in Biblia ya Kiswahili

9 Na kisha akamfunga kiremba kichwani, na juu ya kiremba kwa mbele, akaweka bamba la dhahabu; liwe taji takatifu, kama Yahweh alivyomwamru yeye.
10 Musa akayatwaa hayo mafuta ya upako, akalipaka lile hema la kukutania na kila kitu kilichokuwamo ndani yake na kuvitenga kwa ajili ya Yahweh.
Mambo ya Walawi 8 in Biblia ya Kiswahili