Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 8:22-23 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 8:22-23 in Biblia ya Kiswahili

22 Kisha Musa akamleta yule kondoo dume mwingine, kondoo wa kuwekwa wakfu, naye Aroni na wanawe wakaweka mikono yao juu ya kichwa cha kondoo.
23 Aroni akamchinja, naye Musa akachukua sehemu ya damu na kuiweka kwenye ncha ya sikio la Aroni la kulia, juu ya dole gumba la mkono wake wa kulia, na kwenye kidole kikumbwa cha mguu wake wa kulia.
Mambo ya Walawi 8 in Biblia ya Kiswahili