Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 7:9-11 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 7:9-11 in Biblia ya Kiswahili

9 Kila sadaka ya nafaka inayookwa mekoni, na kila sadaka kama hiyo ipikwayo kaangoni au kwenye sufuria itakuwa ya kuhani aitoaye.
10 Kila sadaka ya nafaka, ama iwe unga mkavu au uliochanganywa na mafuta ya zeitu itakuwa ya ukoo wa Aroni kwa usawa.
11 Hii ndiyo sheria ya dhabihu ya sadaka za amani, ambazo watu watazitoa kwa Yahweh.
Mambo ya Walawi 7 in Biblia ya Kiswahili