Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 7:3-4 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 7:3-4 in Biblia ya Kiswahili

3 Mafuta yote yaliyomo ndani yake yataondolewa: mafuta ya mkiani, mafuta yaliyo sehamu za ndani,
4 zile figo mbili pamoja na mafuta yaliyo juu yake, yaliyo karibu na kiuno, na yanayofunika ini—nyama hii yote lazima iondolewe pamoja na hizo figo.
Mambo ya Walawi 7 in Biblia ya Kiswahili