Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 7:19 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 7:19 in Biblia ya Kiswahili

19 Nyama yoyote inayogusa kitu kilicho najisi haitaliwa. Ni lazima ichomwe moto. Na kwa ajili ya nyama inayobaki, yeyote aliye safi anaweza kuila.
Mambo ya Walawi 7 in Biblia ya Kiswahili