Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 6:25-26 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 6:25-26 in Biblia ya Kiswahili

25 “Sema na Haruni na watoto wake kwamba, 'Hii ni sheria ya sadaka ya dhambi: Sadaka ya dhambi lazima kuchinjwa mahali pa sadaka ya kuteketezwa itachinjwa mbeleya Bwana. Ni takatifu sana.
26 Kuhani atakayeitoa kwa ajili ya dhambi ndiye atakayeila. Italiwa mahali patakatifu katika ua wa hema ya kukutania.
Mambo ya Walawi 6 in Biblia ya Kiswahili