Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 27:6-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 27:6-7 in Biblia ya Kiswahili

6 Kwa wenye umri wa tangu mwezi mmoja mpaka miaka mitano viwango vyenu vya thamani kwa mawanaume vitakuwa shekeli tano za fedha na kwa mwanamke shekeli tatu za fedha.
7 Tangu wenye umri wa miaka sitini na zaidi kwa mwanaume viwango vyenu vya thamani vitakuwa shekeli kumi na tano, na kwa mwanamke ni shekeli kumi.
Mambo ya Walawi 27 in Biblia ya Kiswahili