Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 27:28 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 27:28 in Biblia ya Kiswahili

28 Hakutakuwa na kitu amabacho mtu anakitoa kwa Yahweh, kutoka katika vyote alivyonavyo, iwe ni mwanadamu au mnyama, au ardhi ya familia yake, ambacho chaweza kuuzwa au kukombolewa. Kila kitu kitolewacho ni kitakatifu sana kwa Yahweh.
Mambo ya Walawi 27 in Biblia ya Kiswahili