Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 26:33-35 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 26:33-35 in Biblia ya Kiswahili

33 Nami nitawatawanya nyinyi katika mataifa, na nitaufuta upanga wangu na kuwafuatia. Nchi yenu itatelekezwa, na miji yenu itakuwa magofu.
34 Nayo nchi itazifurahia Sabato zake kwa kuwa itakuwa imetelekezwa na ninyi mkiwa katika nchi za daui zenu. Katika nyakati hizo, nchi itapumzika na kufurahia Sabato zake.
35 Maadamu itakuwa imetelekezwa, itakuwa na pumziko, ambalo litakuwa ni pumziko iliyolikosa pamoja na Sabato zenu mlipokuwa mkiishi ndani yake.
Mambo ya Walawi 26 in Biblia ya Kiswahili