Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 26:30-32 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 26:30-32 in Biblia ya Kiswahili

30 Nitapaangamiza mahali penu pa juu, kuziangusha chini madhabahu zenu za kufukizia uvumba, na kuzitupa maiti zenu juu ya maiti ya sanamu zenu, na Mimi mwenyewe nitawadharau nyinyi.
31 Nitaigeuza miji yennu kuwa magofu na kupaharibu patakatifu penu. Nami sitapendezwa na harufu nzuri ya matoleo yenu.
32 Nami nitaiharibu nchi. Adui zenu watakaokuwa wakiishi humo watashtushwa na uharibifu huo.
Mambo ya Walawi 26 in Biblia ya Kiswahili