Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 24:23 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 24:23 in Biblia ya Kiswahili

23 Kwa hiyo Musa akazungumza na watu wa Israeli, nao watu wakamleta mwanaume huyo nje ya kambi, yule ambaye alikuwa amemlaani Yahweh. Wakampiga kwa mawe. Watu waisraeli wakaitekeleza amri ya Yahweh aliyoitoa kupitia Musa.
Mambo ya Walawi 24 in Biblia ya Kiswahili