Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 23:5-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 23:5-7 in Biblia ya Kiswahili

5 Katika mwenzi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi kwenye mwanga hafifu wa machweo ya jua, ni Pasaka ya Yahweh.
6 Siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu ya mikate isiotiwa hamira kwa ajili ya Yahweh. Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiotiwa hamira.
7 Siku ya kwanza ni lazima mjitenge kwa pamoja, hamtafanya kazi ya kawaida.
Mambo ya Walawi 23 in Biblia ya Kiswahili