Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 22:30-31 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 22:30-31 in Biblia ya Kiswahili

30 Ni lazima iliwe siku iyo hiyo inayotolewa. Hutakiwi kubakiza chochote hata asubuhi. Mimi ndimi Yahweh.
31 Kwa hiyo imewapasa kuzishika amri zangu na kuzifuata. Mimi ndimi Yahweh.
Mambo ya Walawi 22 in Biblia ya Kiswahili