Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 20:7-9 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 20:7-9 in Biblia ya Kiswahili

7 Kwa hiyo jitakaseni wenyewe na muwe watakatifu, kwa sababu Mimi ndimi Yahweh Mungu wenu.
8 Mtazitunza amari zangu na kuzifuta. Mimi ndimi Yahweh anayewatenga ninyi muwe watakatifu.
9 Yeyote amlaaniye baba yake au mama yake hakika mtu huyo atauawa. Amemlaani baba yake au mama yake, kwa hiyo ana hatia na anastahili kufa.
Mambo ya Walawi 20 in Biblia ya Kiswahili