Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 20:1-3 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 20:1-3 in Biblia ya Kiswahili

1 Yahweh akazungumza na Musa, akasema,
2 “Waambie watu wa Waisraeli, 'mtu yeyote miongoni mwa watu Israeli, au Mgeni yeyote anayeishi miongoni mwa Waisraeli atakayemtoa mtoto wake yeyote kwa Moleki, hakika atauawa. Ni lazima watu wa nchi wamponde kwa mawe.
3 Pia nitaukaza uso wangu dhidi ya mtu huyo na kumkatilia mbali kutoka miongoni mwa watu wake kwa sababu amemtoa mtoto wake kwa Moleki, ili kupatia unajisi mahali pangu patakatifu na kulinajisi jina langu takatifu.
Mambo ya Walawi 20 in Biblia ya Kiswahili