Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Mambo ya Walawi 18:6-7 in Swahili (individual language)

Help us?

Mambo ya Walawi 18:6-7 in Biblia ya Kiswahili

6 Pasiwepo kwenu atakayelala na yeyote aliye na uhusiano wa karibu naye. Mimi ndimi Yahweh.
7 Usimfedheheshe baba yako kwa kulala na mama yako. Yeye ni mama yako! Haikupasi kumfedhehesha yeye.
Mambo ya Walawi 18 in Biblia ya Kiswahili