Text copied!
Bibles in Swahili (individual language)

Isaya 1:20-21 in Swahili (individual language)

Help us?

Isaya 1:20-21 in Biblia ya Kiswahili

20 lakini ukikataa na kugeuka, upanga utakuangamiza, maama Yahwe amesema.
21 Ni kwa jinsi gani mji ulioaminika umekuwa kahaba! ulikuwa ni mij wenye usawa na haki, lakini sasa mji umejaa mauwaji.
Isaya 1 in Biblia ya Kiswahili